Showing posts with label Burudani. Show all posts
Showing posts with label Burudani. Show all posts
Sunday, January 17, 2016
PICHAZ: Tamasha La Uimbaji Lililofanyika K.K.K.T Kimara; Kwaya Mbalimbali Zilikuwepo km; Uinjiliji Kijitonyama, Uinjilisti Kimara.
Friday, January 15, 2016
WIMBO WA INJILI WA "MUNGU AMESEMA NDIO" KUZINDULIWA MWISHONI MWA MWEZI JANUARI.
Published Under
Burudani
WIMBO mpya wa Injili wa MUNGU AMESEMA NDIO
kuzinduliwa mwishoni mwa mwezi Januari mwaka huu wimbo wa MUNGU
AMESEMA NDIO umeimbwa na mwimbaji wa nyimbo za Injili ajulikanae kama
Mhandisi Carlos Mkundi (Pichani).
Hayo yamesemwa na mwimbaji huyo wa nyimbo za
Injili wakati akizungumza na mwandishi wa MICHUZI BLOG jijini Dar es Salaam
leo.
Amesema kuwa baada ya kutoa wimbo wake wa
MUNGU AMESEMA NDIO atatoa wimbo wa mwingine ambao ameupa jina la YOU ARE THE
SAME YOU NEVER CHENGE ambao ataimba kwa lugha ya kiingereza ili watu mbalimbali
waweze kuusikia.
Aidha amewaomba wananchi na wadau wa nyimbo za
Injili hapa nchini wamuunge mkono ili kutangaza neno la Mungu kwa mataifa yote
kupitia nyimbo za Injili.
Subscribe to:
Posts (Atom)



