WIMBO WA INJILI WA "MUNGU AMESEMA NDIO" KUZINDULIWA MWISHONI MWA MWEZI JANUARI. | Hebroni
Habari Mpya
Loading...

Friday, January 15, 2016

WIMBO WA INJILI WA "MUNGU AMESEMA NDIO" KUZINDULIWA MWISHONI MWA MWEZI JANUARI.

BONYEZA PICHA HILI CHINI UWE MIONGONI MWA WANAONUFAIKA NA...☟⇓

WIMBO mpya wa Injili wa MUNGU AMESEMA NDIO kuzinduliwa mwishoni mwa mwezi Januari mwaka huu wimbo wa  MUNGU AMESEMA NDIO umeimbwa na mwimbaji wa nyimbo za Injili ajulikanae kama Mhandisi Carlos Mkundi (Pichani).

Hayo yamesemwa na mwimbaji huyo wa nyimbo za Injili wakati akizungumza na mwandishi wa MICHUZI BLOG jijini Dar es Salaam leo.

Amesema kuwa baada ya kutoa wimbo wake wa MUNGU AMESEMA NDIO atatoa wimbo wa mwingine ambao ameupa jina la YOU ARE THE SAME YOU NEVER CHENGE ambao ataimba kwa lugha ya kiingereza ili watu mbalimbali waweze kuusikia.

Mhandisi Mkundi ameimba nyimbo za Injili mbalimbali zinazojulikana kama Nimetoka mbali, Wewe ni Mungu, Usinishike bega, Moyo wangu wakuabudu

Aidha amewaomba wananchi na wadau wa nyimbo za Injili hapa nchini wamuunge mkono ili kutangaza neno la Mungu kwa mataifa yote kupitia nyimbo za Injili.

Jiunge Nasi Tuwe Tunakutumia Habari Mara tu zinapotokea! ..Bofya HAPA Ujiunge Sasa..

BONYEZA PICHA HILI CHINI UWE MIONGONI MWA WANAONUFAIKA NA...☟⇓
Sambaza Habari Hii Kwa Marafiki Zako
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
ANGALIA TV KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI
Bofya HAPA>>HAPA>>HAPA

0 comments:

POST A COMMENT

 

Followers


LinkWithin

Hebroni 2016. Powered by Blogger.