BONYEZA PICHA HILI CHINI UWE MIONGONI MWA WANAONUFAIKA NA...☟⇓
Katika sehemu nyingi duniani, watu wengi zaidi hula chakula kikuu chenye bei nafuu ndani ya kila mlo. Chakula hicho kikuu huwapatia nguvu ya kutosha kuwawezesha kutimiza mahitaji yao ya kila siku. Lakini chakula hicho kikuu pekee hakitoshi kumfanya mtu awe mwenye afya. Kuweza kukua, kuwa na nguvu, na kupambana na maambukizi, lazima tule vyakula vingine-zaidi ya chakula kikuu.
|
Uji ambao haujachanganywa na chochote hautoshi. |
|
Ongezea maharagwe, nyama, maziwa, mayai, mbogamboga,au matunda. |
Kwa ajili ya afya bora, tunahitaji:.....BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI |
BONYEZA PICHA HILI CHINI UWE MIONGONI MWA WANAONUFAIKA NA...☟⇓
Sambaza Habari Hii Kwa Marafiki Zako
Bofya HAPA>>HAPA>>HAPA
0 comments:
POST A COMMENT